ukabu
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 212
- 68
Awali ya yote Napenda kuwapa pole na majukumu yenu ya kutwa nzima katika kujenga taifa hili la Tanzania .
Nimeleta Uzi huu hapa mahsusi kwa ajili ya kuleta changamoto katika sekta ya afya na sekta ya ajira kwa ujumla.
binafsi nilihitim shahada ya udakatari wa afya ya binadamu katika chuo kimoja hapa nchini mwaka 2013.
nikafanya kazi katika NGO kwa miaka miwili then mwaka 2015 nilipata fursa ya kwenda nje kusoma kozi ya family medicine na telemedicine kwa mwaka mmoja nikarudi hapa nchini mwaka Jana .
binafsi unaweza kujiuliza kua kwa nini nilienda kusoma mambo ambayo kwa upeo wa kawaida hayapo hapa nchini .
lakini mimi binafsi lengo langu ilikua kuleta kitu ambacho kwa nchi yetu ni kipya lakini kwa wenzetu hicho kitu kipo.
nikajiuliza why not in Tanzania.Niliporud nilifungua Kampuni ya iitwayo Afrimec ambayo lengo kuu ilikua ni kufanya online consultation s .
nimekua nikifanya hvyo informally kupitia socia networks wakat tool ya website na app ikiwa jiko inatengenezwa na madeveloper wa world technology kwa mkopo huko chini ujerumani .
ambapo panapo majaaliwa mwishoni MWA mwaka huu Nita I launch app na site hyo ambavyo itamwezesha mtanzania yeyote kuwasiliana na madakitar na kupata ushauri ndani ya muda muafaka kwa text,call na video call.
Endelea kupata ushauri wa kitaalam kuhusu afya kutoka kwetu tembelea Afrimectz katika
Facebook
Afrimec
katika Instagram Au what sup +255759212578
Lengo la kuleta Uzi huu:Kuhamasisha ubunifu kwa vijana kuacha kulalamika na kulaumu serikali .
ubunifu kulingana na kile ulichokisomea Share Uzi huu kwa watanzania wengine wasiendelee kua na mataizo ya kiafya ambayo wangependa kupata ushauri na probably kupatiwa tiba kwa muda muafaka