Nanoli
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 3,735
- 5,970
Habari ya asubuhi wadau.... Niko ndani ya gari la abiria, natoka Dar naelekea Arusha... Hali ya hewa ni nzuri kabisa, ubaridi ukichagizwa na rasharasha za mvua....
Safari yangu imeanzia Ubungo, baada ya kuingia kwenye gari nimepokelewa na bashabasha la tabasamu na jirani wa siti yangu, binti kazuri tu, nikaona nina bahati kumpata jirani ambaye anaonyesha ataifanya Safari yangu niione fupi kabisa.
Maana unaweza fika kwenye siti ukamkuta jirani wa siti yako Kama kalishwa ndimu vile, lakini huyu dada yuko vizuri kabisa.
Sasa licha ya mapokezi matamu na uchangamfu wake, mpaka sasa tuko Chalinze, lakini nimeanza kuchoshwa na harufu mbaya ya huyu dada, yaani hili sio kwapa, kwa umri wangu na uzoefu wa hizi harufu, nina hakika kabisa hii ni harufu ya K -kisheti.. Kwakweli Safari naanza kuiona ndefu mno,.... Nimegeuza geuza macho yangu labda ingewepo nafasi ya siti wazi niombe nihamie,. Lakini nimefeli.
Sasa najiuliza hivi asubuhi hii ametoka kuamka, ameoga, kajipodoa,... Na hali ya hewa wala sio ya joto.. Tatizo laweza kuwa ni nini jamani,.. Yaani natamani kuhama siti kwakweli.