McCain
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 1,169
- 517


Ni jambo la aibu sana kuona waziri anayehusika na ulinzi+usalama yuko kimya hadi leo lakini tukio lingewakuta police siku hiyo hiyo angezungumza chechote halafu hizi silaha wizara husika iwe makini on a sasa zinatumika isivyo.
Je, Makonda naye anasemaje kuhusu bilirubin?