Nindo
Member
- Aug 23, 2016
- 71
- 117
Heshima kubwa naiwe juu yenu mabibi na mabwana!!Kwa heshima na taadhima najitokeza hapa jukwaani,kutoa ombi lifuatalo.
Vijana wengi wa kitanzania tumekuwa tukilalamika kuwa tuna idea ama project nzuri na bora lakini mitaji ndio kikwazo kikuu. Duniani kumekuwapo na competition mbalimbali kuhusu idea ama project katika nyanja zote za kijamii, kiuchumi ama kiutamadani!!
vijana wengi tunakosa fursa za kushiriki competition hizo ambazo zingeweza kutusaidia kutimiza ndoto zetu na kutatua changamoto mbali mbali katika jamii zetu.Naomba Uzi huu uwe maalumu kwa ajili ya kujulishana na kuelekezana fursa za competition mbali mbali kuhusu idea ama project!!
Naomba tujulishane na kupeana mbinu za kuandika pamoja na ushiriki sahihi.
Nawasilisha