Msaada: anayejua gharama za kutuma mzigo nje ya nchi kwa njia ya Posta

misstrace

JF-Expert Member
Oct 5, 2016
649
1,483
Naomba msaada kwa anayejua gharama ya kutuma mzigo nje ya nchi kwanjia ya Posta ya kawaida, au njia nyingine ambayo ni rahisi.
 
aidha unaweza fanya ifuatavyo... pima uzito wa mzigo wako ukiwa ndani ya kifungashio unachotaka kufungia.. . kisha upime uzito wake... baada ya kujua uzito wa mzigo wako fungua website ya posta... www.posta.co.tz utakuta sehemu ya tarrif... utapata jawabu kulingana na uzito wa mzigo wako na destination county
 
Back
Top Bottom