Ajira mpya

mwalidebe

JF-Expert Member
Mar 27, 2016
425
248
Namshukuru Muumba pia naishukuru serikali ya Tanzania nimepata ajira mkoani Arusha!
Ndugu zangu nahitaji kusafirisha vyombo yaani kitanda kodoro friji kabati TV Gesi kooker n.k wapi naweza pata usafiri Wa kusafirisha vifaa vyangu kutokea dar es salaam,ukiachilia mabasi?
 
Ni ajira mpya au ndio umepata ajira?? Kwa nini TITLE isengesomeka tu MSAADA WA KUPATA USAFIRI KUHAMISHA VITU VYAKO VYA NYUMBANI.
 
Back
Top Bottom