MAHENGE JR
JF-Expert Member
- Jun 1, 2014
- 497
- 637
Kweli jamaa kaanza kujitambuaHuyu ameanza kupona
Taratibu na wengine wataanza kujitambua.Kweli jamaa kaanza kujitambua
Kashtukakidogo anarudi kwenye hali ya ubinadamu
Hata ukiwa against shetani tutasema umejitambuaHii nchi bana ....kweli bado tupo kwenye ujinga na degree zetu juu ....mtu akishakuwa against Makonda tu basi kajitambua!! ....
Inawezekana alikuwepo maana huyu jombii co WA kumwamini..Lakini hakuwepo kwenye maandano au ndo unafiki wake
KWA kweli hawa ni matahira haswaaBashite ndio aliwajaza ule ujinga had wakaandamane...ney wa mitego anawaitaga mataira kwel nmeamin