Narudi nilikokuwa, Halotel imenishinda

kethika

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
630
472
Ulipokuja mtandao wa Halotel ulikuwa na kasi ya ajabu kwenye internet ikanifanya nihamie. Ila narudi tu nilikokuwa mwanzoni maana yamenishinda!
 
kuna mtandao unaitwa tigo iseee kampuni inatoa internet mbovu cjapat ona yani ukiweka bando hutumii inabaki kma ilivo the way netwrk inavo kata viuno kma wachez show wa akudo

Nahisi inategemea na maeneo mm niko mwanza natumia tigo tena nimeswitch 3g lkn internet iko sawa ila kuna maeneo inasumbua same to voda kuna maeneo ni E
 
Wewe rudi salama mkuu!

Bado sijaona mtandao unaoweza kushindana na halotel kwa gharama za chini hadi umara wa network!

Hivi mleta mada nikuulize ni wapi unaweza kupata mb 600 kwa sh 500 wiki nzima kama siyo halotel pekee?

Kwangu mm halotel is the best network in town!

Wewe nenda tu kwa hao kina halichachi sijui na blaa blaa gani huko!
 
Nilishatumia mitandao ya voda, airtel, tigo na zantel. Halotel is my number one.
 
Wewe rudi salama mkuu!

Bado sijaona mtandao unaoweza kushindana na halotel kwa gharama za chini hadi umara wa network!

Hivi mleta mada nikuulize ni wapi unaweza kupata mb 600 kwa sh 500 wiki nzima kama siyo halotel pekee?

Kwangu mm halotel is the best network in town!

Wewe nenda tu kwa hao kina halichachi sijui na blaa blaa gani huko!
Jaribu ttcl then ndo ujudge
 
Attachments

  • IMG-20170419-WA0000.jpg
    IMG-20170419-WA0000.jpg
    24.5 KB · Views: 27
Kuna mdada amenunua sijui ndo TTCL... Yaani anashinda dukani kwa mtu ili atumie inernet!!! Full utumwa!
Tigo nao majanga tu! Kuna sehemu internet haikamati kabisa.
Karibu Vadacom mkuu
 
Back
Top Bottom