Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,581
Wakuu, poleni na majukumu.
Naomba kujua kama kuna rubani mtanzania ambaye anarusha ndege kubwa za anga la kimataifa mfano Qatar, Emirates, Singapore, Bombardier nk kwenda nje mfano US, UK, Asia n.k.
Maana marubani wengi huwa ni watu weupe tu. Hata Bombardier sijui zinarushwa na rubani kutoka nchi gani.
Asanteni sana