Hivi matangazo ya haki elimu yameishia wapi?

cbe

Member
Sep 22, 2015
48
12
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu napenda kujua matangazo yalitokuwa yakirushwa kwenye redio na stesheni mbalimbali za TV yameishia wapi
 
Nakumbuka Mkapa aliwapiga Marufuku Haki Elimu baada ya kuwa kila Siku wanakosoa Mipango yake ya Elimu Pamoja n Shosti yake Hayati Joseph Mungai

Jk akaja kuwafungulia labda Mkapa Jr kaifungia Tena
 
shosti ake mkapa eti
Maana siku izi media kimya sana kuhusu hayo matangazo
 
Nakumbuka Mkapa aliwapiga Marufuku Haki Elimu baada ya kuwa kila Siku wanakosoa Mipango yake ya Elimu Pamoja n Shosti yake Hayati Joseph Mungai

Jk akaja kuwafungulia labda Mkapa Jr kaifungia Tena
Sasa hivi wakijaribu tu wanaitwa wachochezi. Unadhani hawajui?
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu napenda kujua matangazo yalitokuwa yakirushwa kwenye redio na stesheni mbalimbali za TV yameishia wapi
Bashite Kayafuta yote.
 
Yaani tutammis wa msoga, mida ya kulala redioni anakukumbusha kulala na neti eti, af anakwambia maralia haikubaliki. Zile za andikisheni majina mletewe vyandarua tutabaki kuhadithiana tu hawamu hii.
 
Back
Top Bottom