Wapenda rejea kichwa cha habar hapo juu.
Yeyote anawajua wafadhili waliowema wanaomjua Mungu wenyenia ya dhati kabisa ya kuujenga ufalme wa Mungu hapa duniani.Tafadhali naomba links zao ikiwa...
Hivi kwa nini ma-bank ambayo hayazalishi chochote (isipokuwa kuwapatia wateja wao huduma zisizo za viwango) nimatajiri kuliko taasisi zingine?Angalia Wells Fargo & Co., HSBC Holdings,JP Morgan...
Dar es Salaam. Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema ingawa watanzania wana hofu ya kutekwa lakini yeye hawezi kutekwa bali anateka watu.
Alifafanua kauli yake hiyo...
Amani iwe nanyi!
Kuna rafiki yangu likuwa ameoa, toka June 2016.( mwaka mmoja) na mke wake amefariki leo. Wakati anaoa hakuweza kutoa mahali hata senti.
Tatizo1. Wazazi wa marehemu wamekataa...
Tangu napata akili nimekuwa nasiki kuhusu huyu ndege (mbayuwayu) kuwa eti ukofanikiwa kumuua yaani tumboni hamna kitu chochote zaidi ya kukuta wadudu tuu kama kaoza fulani
Nimejitahidi sana...
Hello guys wish you are fit!
Watumishi wa umma kuna dalili ladhaa za kula msoto tena kwa mwaka wa fedha unaotarajiwa kuanza hivi punde, yaani 2017/18.
Najua kwa mtumishi kuambiwa hivi hapendi...
Hii kitu imekaaje ndugu zangu?
Nimewahi ona matajiri kadhaa, weupe sana kwenye mazungumzo.
Mtu mweupeee mdomoni ukimsikiliza,
Ila ana majumbaa, maviwanja
Magari tena malori na magari kutembelea...
Wadau mliosoma laugha ya Kiswahili namoba msaada! Nimeshindwa kutofatisha kati ya Elimu bule na Elimu bila malipo tofauti zake nini. Hakika nimeshindwa kumuelewa waziri wa tamisemi alivyonena...
Nilibahatika kumfahamu Mwl. Frank verified user kwenye mada maalum ya magari... Lakini hivi karibuni nimeambiwa hatunaye tena na kifo chake kilitokana na kujinyonga/ kunyongwa?
Mniwie radhi Kama...
Nimekuwa nikiwaona Watu wengi sana pale wanapokuwa wamesimama na Kiongozi yoyote wa nchi hasa Marais katika nchi nyingi sana hapa duniani wakiwa wameweka mikono yao mbele tena wakiwa ' wapole ' na...
Habari wana jf naomba mtu yeyote anayefahamu mahali ambako vitabu vya Carl Jung (C.G.Jung) Mfano kitabu kiitwacho Memories, Dreams, Reflection au kitabu chochote kilichoandikwa na huyu jamaa...
ule ujenzi wa reli ya umeme unaendeleaje wakuu? ikiwezekana tupieni na vipicha ili tuone jinsi ujenzi unavyoendelea, wengine tupo mbali halafu tuna shauku ya kuona ujenzi ukiendelea, baada ya mkuu...
Kutoka Ifakara
matokeo ya uchaguzi mdogo wa kitongoji cha kisawila, mgombea wa ccm ndugu shaban sahangale ameshinda Kwa kura 557 dhidi ya 528 za mgombea wa chadema.....
Kidumu chama cha mapinduzi
Ndugu wana jamvi, amani iwe kwenu.
Katika somasoma yangu ya magazeti nilikutana na habari hiyo ya mauzauza ya wasomi wanaodaiwa kuwa na kiwango cha juu cha usomi (PhD na Prof) mkoani Arusha...