Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wanajamvi! Nilienda juzi kumuangalia mpendwa wangu wodi ya watoto inaitwa makuti, nilipofika pale nikamtuma mtu aniitie mpendwa wangu nje maana awaruhusu kuingia ndani wodini kunakisehemu...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
RITA imezifuta jumla ya taasisi 181 baada kubaini kuwepo kwa dosari mbalimbali katika bodi za wadhamini, Taarifa hii imetolewa na Profesa Paramagamba Kabudi wakati akiwa anawasilisha bajeti ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama kila idara ya serikali ni kukusanya fedha, polisi barabarani wako tayari kusababisha ajali lakini wakusanye fedha. Sasa uchumi wa Tz ni upi?
0 Reactions
6 Replies
972 Views
Nimesikia kwenye vyombo vya habari kuwa mkuu wa mkoa wa Dar amezuia biashara ya Kuuza DVD zenye picha mnato (movies) zá nje ya nchi, mfano zile za kikorea, kihindi, kifilipino nk. Nilichunguza...
23 Reactions
627 Replies
108K Views
Mi naanza na hii DESPOT
0 Reactions
85 Replies
7K Views
Waswahili husema ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni, na elimu siku zote haina mwisho. Huko Sirari Mkoani Mara Mzee wa miaka 78 amejitosa na kuanza darasa la kwanza mara tu baada ya kuhitimu...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Daraja la Chuma (MABEY BRIDGE) barabara ya muda (DIVERSION ROAD) katika Daraja la Mlalakua Barabara ya Mwai Kibaki hii inayotoka Morroco kwenda Kawe na Mbezi, limepata hitilafu hivyo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hospitali ya Bugando ni hospitali kongwe na kubwa hapa Tanzania. Ni hospitali ya rufaa katika mikoa yote ya kanda ya ziwa na mikoa ya jirani. Cha ajabu na cha kusikitisha hospitali kubwa kama...
2 Reactions
42 Replies
8K Views
Naona kama watanzania wengi hawajaipa kipaumbele siku hii ya tarehe 25 April ambayo kila mwaka wanaharakati duniani wa kupambana na ugonjwa huo huidhimisha. Pengine tuko bize na maandalizi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu kwema...? Naombeni yeyote anaye uza housing au anaye fahamu sehemu ninayo weza pata housing ya laptop aina ya HP,,530 anifahamishe....Asanteni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wananchi wenzangu. Najua tunapenda kushabikia bahati mbya Mimi sio muumini saaana wa kushadadia siasa.soka wala migogoro Kama ccm vs chadema, Yanga vs Simba na ama Korea ya kas vs USA. Napenda...
0 Reactions
1 Replies
870 Views
wasalaam, baada ya salamu, niwataarifu kuwa nimefika kwa mara ya kwanza katika maisha yangu katika mkoa huu, nipo kigoma mjini na nitakaa kwa muda usiopungua miezi miwili ndani na nje ya mji...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari.. Ningependa kuwataarifu wazazi wenzangu kama mimi kuhusu tatizo kubwa linalowapata wazazi wa awamu ya kwanza(first timers) kuhusu swala la uzazi katika hatua yote ya kujifungua mpaka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Baadhi ya wasanii wameandamana wakitokea ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar kuelekea Kariakoo kwa lengo la kupinga uingizwaji wa filamu kutoka nje. Wadau kwa uelewa wangu naona hili si sawa. Wasanii wa...
39 Reactions
858 Replies
101K Views
SERIKALI wilayani Tunduru katika Mkoa wa Ruvuma imepiga marufuku shughuli zote za jando na unyago kufanyika wakati wa masomo na kuagiza kuanzia sasa shughuli hizo zifanyike wakati wa likizo ili...
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Wakatabahu Nahisi yapo mambo ambayo ni mapokeo (Traditional) na tumeendelea kuyakumbatia bila kuzingatia mazingira ya sasa Mojawapo ni hili la vikao ya Harusi ambavyo mfululizo wake huendana...
3 Reactions
33 Replies
7K Views
Wananchi wenzangu. Najua tunapenda kushabikia bahati mbya Mimi sio muumini saaana wa kushadadia siasa.soka wala migogoro Kama ccm vs chadema, Yanga vs Simba na ama Korea ya kas vs USA. Napenda...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna watu wamepanda vyeo kwa fitna na kuwageuka na kuwasingizia wenzao Kuna watu wako radhi hata kuchonganisha wafanyakazi wote maeneo ya Kazi Kuna wengine wanapenda kuogopwa hata kama hakuna...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…