Jibu lipo waz mkuu ni Taxation economy....kuna siku walinikamata trafiki mbez kwa yusufu... Jamaa anakomaa nilipe faini 30,000/= eti kwasababu taa ya urembo imevunjikaKama kila idara y'all serikali ni kukusanya fedha, polisi barabarani wako tayari kusababisha ajali lakini wakusanye fedha. Sasa uchumi WA Tz ni upi?
Na viwanda je?!Kama kila idara y'all serikali ni kukusanya fedha, polisi barabarani wako tayari kusababisha ajali lakini wakusanye fedha. Sasa uchumi WA Tz ni upi?