Piga hela sasa.Mm sio mlevi
Unaichukua na kwenda kuwafumgulia mashtaka, usiifungue, wakulipe mtonyo wa kutosha!Leo Mimi nimekutana na sprite Ina Kama vumbi kwa ndani Mimi nashauri kuwa makini unapokunywa soda
Nasisi wa chibuku unatushaurije.Leo Mimi nimekutana na sprite Ina Kama vumbi kwa ndani Mimi nashauri kuwa makini unapokunywa soda
Nasisi wa chibuku unatushaurije.
Hivi bado kuna watu ambao mnaendelea kunywa soda,mna moyo.Ngojeni wawawekee matakataka,labda mtastuka.Jamani hiiv soda nimeikuta inauchafuu ndani nikawaza jee zile zenye rangi zingine kama pepsi, mirinda na seven up ni Mara ngapi tunakunywa na uchafuuu.
Kweli tanzania ya viwanda inatakuja ILA sio hii kwa kweli.
View attachment 501006
Ni kweli mkuu hivi nn kinatushinda kuhifadhi soda kiusafi yani soda chafuu kama maji ya kisimaQ.A department za makampuni yetu mengi hapa Tanzania ni bosheni tu maana unajiuliza, wanafanya kazi gan maana kila baada ya 10-15/min unatakiwa kuchukua sample kwenda kupima maabara, pia kuna siter anayesaidiana na production supervisor ....yaani kwa ufupi kuna chain ndefu Sana mpaka bidhaa anatoka kwenye line of production . TFDA, ISO, TBS chukueni hatua mujarabu kwa kiwanda husika .
Sipo hapa kuharibu mkuu ila kuwaonyesha hawo watengenezaji udhaifu wanatufanyia na kuwapa watu taadhari pindi wanunuapo soda ya aina yoyote wawe makini kabla ya kutumia.just imagini hiyo soda ingekuwa usiku huwezi kutambua kama inauchafu na imagini madhara ya huwo uchafu ndani ya chupa ni ya kiwango gani.Ingawa sikupingi lakini pia unaweza ukawa unataka kuharibu brand za kampuni mojawapo.
Just my curiosity...