Ni Kweli anayetazama TBC anakuwa hana kifurushi cha star times?

hayaland

JF-Expert Member
May 4, 2012
712
399
Hivi ni kweli anayetazama TBC anakuwa hana kifurushi cha star times. Watu wamebishana sana hadi kuwekeana pesa na wameamua kufanya utafiti wa kina kwa wale wanaotazama TBC.
 
Back
Top Bottom