Tujikumbushe: Wamama na wadada wanavyopitia Magumu Duniani na Hasara tunayopata Kutowathamini...

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
1Duniani Kote wanawake wanalipwa kidogo kuliko wanaume. Nchi nyingi duniani wanawake wanapata aslimia 60-75 za wanacholipwa wanaume...

2:Wanawake Wasomi wanauwezekano mara Mbili zaidi ya kuwapeleka watoto wao SHULE...

3Duniani kote wanawake zaidi ya 5000 huuwawa kwa kile kinachodhaniwa ni kutokuwa na heshima kwa familia.

4:Wanawake wote waliouwawa duniani mwaka 2012, Inakadiliwa nusu yao waliuwawa na WENZI wao au NDUGU zao, wakati ni asilimia karibu 6 tu ya wanaume waliouwawa katika mazingira hayo.

5:Wasichana ambao wamefika kidato cha nne wanauwezekano mdogo wa kuolewa wakiwa bado chini ya miaka 18.

6:Wasichana Milioni 64 duniani kote mwaka 2014 waliondolewa shuleni kwa sababu ya jinsi yao.

7:Wanawake Millioni 603 wanaishi kwenye Mazingira ambayo Unyanyasaji wa wanawake sio kosa.

8:Kuwa na Idadi kubwa ya wanawake walio na elimu wanaongeza Uzalishaji wa taifa na ni kichocheo cha ukuaji wa uchumi.Kuna nchi zinapoteza hadi Trillion 2 kwa mwaka kwa kushindwa kuwasomesha wanawake kama wanaume/wavulana wanavyopata nafasi..
 
Back
Top Bottom