Titty JF-Expert Member Aug 31, 2016 571 912 Apr 29, 2017 #2 Hiyo kawaida sana. Mbona kule zanzibar yanga walichinja mbuzi
C Chenchele JF-Expert Member Dec 27, 2016 1,984 2,500 Apr 29, 2017 #3 Hhhhh simba wa sasahivi ana mapengo...kwahyo hawezi kula nyama poleni wafiwa
Jacobus JF-Expert Member Mar 29, 2011 4,700 1,721 Apr 29, 2017 #4 Niliambiwa kwa mvua hii lazima Simba ishinde sikuamini lakini mwisho wa siku nimeamini.