Kuna huyu mtangazaji wa ITV anaitwa Julieth Robert. Naona yuko vizuri sana, na very well informed. Anajua kuongoza mijadala vizuri na kwa kujiamini. Naona, anamkaribia yule bwana aliye staafu Masako. Hichi kipindi za kipima joto anakimudu vizuri sana. Hata maswali anayouliza yana tija. Mimi binafsi, naona amemzidi Jackline Silemu. She has a bright future. Keep it up young lady