TBC Taifa hongera kwa utangazaji wa mpira wa miguu

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,700
1,721
Wakuu,

Leo nilikuwa nasikiliza TBC Taifa mechi ya Simba na Azam. Katika pitapita yangu mitaani nikasikia mtangazaji wa radio moja (mubashara) akiitangaza mechi hiyo. Kilichonistaajabisha ni mtangazaji huyo akipiga makelele huku mwenzie was TBC akitangaza kikawaida tu.

Hongereni TBC.
 
Back
Top Bottom