Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Jana ilishuhudiwa utumbuaji mkubwa na wa kihistoria kwa wafanyakazi wa umma waliofoji vyeti vya taaluma zao hapa nchini na haikuwahi kutokea toka nchi hii ianze
Utumbuaji huo ulifanywa na Rais Magufuli hivyo kupeleka simanzi masikitiko na huzuni kwa watanzania wengi wa hali za chini ambao vipato vyao vinategemea ujira huo tu
Ukweli mchungu, utumbuaji huu lazima utamzamisha Magufuli ifikapo Uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2020
Waathirika wa utumbuaji huu ni watanzania, na watanzania ndio wapiga kura za ndio kwa rais hivyo hawatakubali waendelee kuumizwa kama hivi rais alivyowafanyia sasa
Lazima watanzania warudishe kisasi kwa Magufuli!
Magufuli na CCM 2020 msimtafute mchawi atakayewakwamisha, mmeshajichimbia kaburi wenyewe na kiama chenu kimefika mwisho 2020
Poleni sana wahanga wa vyeti feki wote