Bahimba
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 510
- 346
Soko maarufu kwa biashara za mbao mjini Shinyanga la Kambarage linateketea kwa moto Muda huu, huku fire wakishindwa kuudhibiti moto huo, umbali kutoka kituo cha fire kuja sokoni ni kama mita 500, lakini hawakufika kwa wakati hivo kusababisha sehemu kubwa ya soko kukeketwa kabisa.
Pia soma: Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

Pia soma: Soko la Kariakoo lateketea kwa moto