mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Ni mikoa michache nchini ambayo wilaya inaweza kukaribia kimaendeleo makao makuu ya mkoa.
Kama ulikuwa hujui ukifanikiwa kupita Kahama Mjini na kisha ukapita Shinyanga mjini unaweza kudhani kahama ndio makao makuu ya mkoa.
Supermarket kubwa Royal Supermarket
Kuna mabank zaidi ya Kumi
Hotel kali sana zikiongozwa na Submarine
Biashara ndio usiseme, bodaboda tu humsikii alilalamika wateja
Mabus Kahama dsm/moro ni zaidi ya Kumi kila siku wakati Shinyanga mjini inabidi usubiri yatoke mwanza
Clubs za Burudani ndio balaa
Ni wilaya ya pili Tanzania kwa mapato nyuma ya ilala...
Watu wanashusha majumba ya hatari ukiuliza unaambiwa sio migodi ni biashara zao tu....
Wenyeji wa maeneo hayo mtueleze zaidi siri ya mafanikio ...