screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,829
- 15,791
Limepita tetemeko muda si mrefu
Usiku huu saa saba na dakika 23 mjn Bukoba tetemeko dogo limepita limechukua kama sekunde 15 hivi.
Kama una ndugu yako bukoba mwambie alale kwa tension maana huwa linakuja kwa series of waves hivyo linaweza jirudia mda wowote.
Nilikua busy na movie kupoteza mawazo kwa yaliyojiri nchini nikaona glass inacheza mezani nikamute tv ndo nikalisikia kwa sauti likiunguruma.