Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,628
- 6,669
Imekua ni kero sasa kwa hawa vijana wanaodrive subari alteza na haya mapikipiki makubwa kama baja!
Kiukweli vijana wenzangu hapa mjini (Arusha) mmekuwa ni kero kubwa, hiyo mi vyombo yenu inatupigia kelele na inashtua sana, sijui kwa wagongwa wenye shida na mioyo yao huwa wanajiskiaje!
Mbadilike, kwani izo gari zenu zikilia kwa utaratibu hamfiki huko muendako?
Rekebisheni gari zenu, au kwa hili tu hadi J makamba na NEMC yake wapaze sauti ndio muwasikie?
Mbona majiji mengine hii kitu imepoa sana au ndio ulimbukeni wa home boys wenzangu hapa