Kiwanda kipya cha Sungura cement (Kilimanjaro cement) chafungwa, wazalendo wote wasimamishwa miezi 3 bila malipo yoyote, wabakizwa wahindi tu kiwaandani kufanya kazi.
Je, uzalendo wa nchi yetu...
Tunapoangalia habari au kipindi flan tunaangalia mambo mengi. Moja wapo pia ni namna msomaji anavyosoma uchaguzi wa maneno na uvaaji ni muhimu sana. Na ndo maaana wenzetu huwa wanahakikisha...
Habari ya muda huu na usiku huu mnene,
Bukoba tena. Tetemeko lililodumu kwa takribani dakika moja na nusu limepita muda huu mjini Bukoba. Baadhi ya wananchi ambao bado tunakumbuka ya tarehe...
Miaka ya nyuma, saa Saba mchana ulikuwa ni muda wa majini
Kuna mti ulishawahi kuanguka mguu wa Kuku, wote mbio eti pale palikuwa na majini wanakula Kuku,
Kuna shule ya msingi nimewahi kusoma...
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Awadh Haji amemwajibisha askari wake kulipa faini ya Sh30,000 baada ya kutaka kumbambikizia kesi dereva. Askari huyo...
Katika vitu ambavyo vinauma uchomwe mshale na mchomaji anejua kuutumia vizuri. Mbele kwenye ncha kama mapezi ya samaki.
Ukichomwa namna ya kuung'oa ni kazi sana.Mshale uchomwe na Mang'ati au...
Wakazi wa Mkoa wa Kilimanjaro wamehamasishwa vya kutosha, Wakurugenzi wa Halmashauri zote wanafanya juhudi za dhati kabisa kuhakikisha watumishi wengi wanajitokeza kwa wingi.
Kama ni mtumishi wa...
Hawa watu wa hovyo sana, hizi nafasi zingefutwa tu kama walikuwepo na wafanyakazi hewa au vyeti feki vinapatikana na uzembe mwingine wa ajabu, sidhani kuwa walikua hawajui kua kuna wafanyakazi...
Jamani wadau na wakereketwa JF,
Kama uliwahi kushuhudia hili jambo sio miaka hii ungali sasa bei juu kuliko mchele sijui tunaelekea wapi au wapi tumekosea. Au ndio falsafa ya kuwa ukitaka...
Wadau habari,katika pitapita yangu Facebook nkakutana na profile ya mama Salma Kikwete ati inasema kuwa anakopesha mikopo kuanzia 2m hadi 10 m sasa kwa njia ya kijaza fomu hiyo ni saccoss,sasa...
Mungu alimuumba mwanamke awe chini ya mwanaume,amtii na mwanaume ampende.Wanawake wengi hawapendi kutii mwanaume hadi awe na pesa.Kumtetea mwanamke kwa ukengeufu huu,ni kuutukuza ushetani.
Pia...
Nilikamatwa na hawa WATU WA PARKING TEGETA NINOMA KWA RUSHWA DUUUUUUH!!!! ILA HAWAJA NIPATA.......
========
Mojawapo ya majibu chanya:
Temeke ni Yono auction mart, Kinondoni ni Mwamkinga Auction...
Binafsi nilistushwa na Kujihami kwa Bi. Angela Kairuki. Nilicho kiona si Prof. Ndalichako wala Angela Kairuki wala Simbachawene yupo tiyar kuona kitumbua chake ki kiingia mchanga.
Heading (Title)...
Awali ya yote, nichukue fursa hii kuwakumbukusha wananchi wenzangu kulipa kodi kwa wakati kwa maendeleo ya nchi; pia niwapongeze TRA kwa mafanikio yafuatayo;
1. Kwa kuongeza makusanyo kila mwezi...
Watumishi hewa Eluf 17 watu walikuwa wakinufaika kwa kiasi kikubwa sana, huku wakijifanya kutetea haki za wanyonge.
Wenye vyeti feki ni zaidi ya Eluf 12. Hii ni Idadi kubwa sana.
Kwa hali sasa...
Huyu mama aliye kamatwa Rwanda kwa kosa la u gaidi 2009 na kuhukumiwa miaka minane jela 2013
B. Ingabire baada ya hukumu hiyo ilibidi akate rufaa, lakini akajikuta ameshindwa na kufunga miaka 15...
Unapoamka asubuhi mpaka unapofika jioni muda wa kulala,uliyoyafanya ni sawa kwa utashi wako au kuna kingine ambacho unatakiwa ukifanye wewe kama wewe lakini mazingira yana kuzuia?
Je, wajua ile...
Wana jamvi habari ya jioni awali ya yote niwape pole kwa kazi za kila siku za kulijenga taifa na pia kuzijenga familia zetu.
Ndugu zangu maeneo hayo niliyoyataja ambayo yapo mkoa wa Pwani hali ni...