kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,394
- 16,390
Wakazi wa Mkoa wa Kilimanjaro wamehamasishwa vya kutosha, Wakurugenzi wa Halmashauri zote wanafanya juhudi za dhati kabisa kuhakikisha watumishi wengi wanajitokeza kwa wingi.
Kama ni mtumishi wa Serikali ninaamini umeshapokea ujumbe mfupi kukuhimiza kuhudhuria shughuli hii.
Nitatoa updates zote na kuwajuza Watanzania yote yatakayokuwa yakiendelea hapa.
Wakuu, Rais ameshawasili hapa Viwanjani.
Na Mrisho mpoto anatumbuiza hapa, anamsifia sana Magufuli.