Makundi ya kutetea kina mama ni makundi ya kishetani

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,634
7,010
Mungu alimuumba mwanamke awe chini ya mwanaume,amtii na mwanaume ampende.Wanawake wengi hawapendi kutii mwanaume hadi awe na pesa.Kumtetea mwanamke kwa ukengeufu huu,ni kuutukuza ushetani.

Pia hakuna mtu katili duniani aliyewahi kuzaliwa kama mwanamke.Kitendo cha kutupa ama kuua mtoto mdogo wake mwenyewe ili akafaidi maisha ya ngono kwa amani,ni ukatili namba moja duniani.

Nasikitika licha ya kuwepo makundi mengi ya jinsi hii na kujiita yanatetea haki za mama na mtoto,lakini huwa hayasemi kabisa mtoto anaponyanyaswa ama kuuwawa na mwanamke mwenzao.

Hata wanaume walio kwenye makundi haya,wako mbele kutetea mwanamke zaidi kuliko watoto.Watoto wanaumizwa sana na wanawake wasio taka kuchukua wajibu wao.Mfano watoto wa kambo,hawawezi kuwa na stories nzuri kuhusu mwanamke.

Naombeni wanaume waache ubabe waanzishe makundi ya kweli ya kutetea watoto.Watoto ndio wahanga wakubwa wa mateso yanayofanywa na wanawake na bahati mbaya hakuna sauti inayowasemea zaidi ya hao hao wanawake wanaowasemea kinafiki.

Hadi naamini mwanamke mwema ni mama yangu pekee.Pengine wanaweza kuwepo wengine lakini ni wachache sana.

Mwenyezi Mungu wasaidie watoto kwa kuwa hawana mtetezi wa kweli.
 
Nani qlikuwapo wakati Mungu anatoa hayo maagizo?

Hebu leta ushahidi wa hayo unoyasema, hizo ni simulizi za wahuni wachache waliotaka kummiliki mwanamke
 
Umeleta kitu pastor wangu alishawahi fundisha, ni KWELI hizi taasis ni totally zinaratibiwa kishetani, watu wa min wanaelewa sana anachokifanya Trump kuhusu hizo mambo, ukisoma biblia vizuri inaonesha Adam alipewa nguvu na mamlaka ya kutawala na kumiliki vitu vyote, ila mashetani wanakuja na harakati za haki sawa, MUNGU hakuwahi kuweka haki sawa ni ushetwani wa wazungu na upumbavu ama ukosefu wa MAARIFA kwa watu weusi, Africans
 
Mungu alimuumba mwanamke awe chini ya mwanaume,amtii na mwanaume ampende.Wanawake wengi hawapendi kutii mwanaume hadi awe na pesa.Kumtetea mwanamke kwa ukengeufu huu,ni kuutukuza ushetani.

Pia hakuna mtu katili duniani aliyewahi kuzaliwa kama mwanamke.Kitendo cha kutupa ama kuua mtoto mdogo wake mwenyewe ili akafaidi maisha ya ngono kwa amani,ni ukatili namba moja duniani.

Nasikitika licha ya kuwepo makundi mengi ya jinsi hii na kujiita yanatetea haki za mama na mtoto,lakini huwa hayasemi kabisa mtoto anaponyanyaswa ama kuuwawa na mwanamke mwenzao.

Hata wanaume walio kwenye makundi haya,wako mbele kutetea mwanamke zaidi kuliko watoto.Watoto wanaumizwa sana na wanawake wasio taka kuchukua wajibu wao.Mfano watoto wa kambo,hawawezi kuwa na stories nzuri kuhusu mwanamke.

Naombeni wanaume waache ubabe waanzishe makundi ya kweli ya kutetea watoto.Watoto ndio wahanga wakubwa wa mateso yanayofanywa na wanawake na bahati mbaya hakuna sauti inayowasemea zaidi ya hao hao wanawake wanaowasemea kinafiki.

Hadi naamini mwanamke mwema ni mama yangu pekee.Pengine wanaweza kuwepo wengine lakini ni wachache sana.

Mwenyezi Mungu wasaidie watoto kwa kuwa hawana mtetezi wa kweli.

Ni ajabu unamtaja Mungu mara nyingi halafu hapo hapo unafanya kazi ya kuhukumu kiumbe chake!
 
Nani qlikuwapo wakati Mungu anatoa hayo maagizo?

Hebu leta ushahidi wa hayo unoyasema, hizo ni simulizi za wahuni wachache waliotaka kummiliki mwanamke
Husisubiri kuambiwa nani alikuwepo ama kuletewa ushahidi juu ya hii mambo, pia na wewe unaweza kuleta ushahidi wa kina kulipinga wazo na mtazamo na ukweli aliouleta huyu member.

Zaburi - Psalms 14

1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.
 
Back
Top Bottom