Mbona inaeleweka mkuu... toka kwenye makusanyo ya bil.. kwenda tril. Lakin kama unahitaji data go to TRA website utakuta data za wanaume wenzako...Wameongeza makusanyo kutoka shilingi ngapi kwenda shilingi ngapi? Unapoweka mada kwa wanaume weka na namba kutia uzito andiko lako, au kwa vile Kairuki amesema mjue kusoma na kuandika inatosha, kuhesabu sio ishu