SEGUZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 280
- 196
Huyu mama aliye kamatwa Rwanda kwa kosa la u gaidi 2009 na kuhukumiwa miaka minane jela 2013
B. Ingabire baada ya hukumu hiyo ilibidi akate rufaa, lakini akajikuta ameshindwa na kufunga miaka 15 jela
Kweli suala la kufungwa Bi Victoire Ingabire limepigiywa kelele na watu binafsi pamoja na mashirika ya kutetea haki za binadamu, lakini bado yungali gerezani na kuteseka.
Mungu amnusuru