Mara 100 ujeruhiwe na bastola kuliko mshale

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Katika vitu ambavyo vinauma uchomwe mshale na mchomaji anejua kuutumia vizuri. Mbele kwenye ncha kama mapezi ya samaki.

Ukichomwa namna ya kuung'oa ni kazi sana.Mshale uchomwe na Mang'ati au Masai ndugu yangu, unaingia kiutamu kama mtu anakuzamisha kitu. Acha tu!
 
Kuna baadhi ya silaha haziko effective haraka mfano mshale au mkuki.
Utendaji kazi wake hutegemea mtu kakupiga sehemu gani na mlikua umbali gani wakati anakupiga mshale, mara zote anayechomwa mshale hafi papo hapo (achana na movies) na kama atapata msaada wa matibabu hupona kabisa.

Note: sijasema msaada wa haraka kwa kua mshale unaweza kukaa nao mwilini hata siku mbili na usife, kuna kesi ya jamaa kuchomwa mishale zaidi ya mitano na akatembea mwenyewe kwenda kwenye matibabu. Na akapona.
Hapa Tanzania kuna jamaa alichomwa mkuki wa mdomo ukatokea shingoni na akapona.

Hata kama mshale/mkuki utakua ni wa sumu bado hauwezi kuua kwa haraka, nyoka mwenye sumu kali kabisa duniani, death adder, sumu yake huua baada ya saa 6. Na ukienda hospitali utapona.
Kiumbe chenye sumu kali kabisa, Stone fish, huua baada ya saa saba na hapa uhakika wa kufa upo kwa kua stone fish haijapatikana kinga yake bado, na anapatika Australia.
Huyo mmsasai au mmang'ati wa kwenda kuchukua sumu ya stone fish na kurudi nayo huku ili akuchome kweli atakua amedhamiria kukuua.
 
Mhhhh...
Kama sijaelewa elewa...
Mara mshale,mara kuzamisha kitu!!.
 
Asante mkuu kuhusu sumu za nyoka nimeondoa ujinga.
 
Ndugu unapoandika usisahau na sisi wenye ufaham tupo. Unaposema nyoka mwenye sumu kali kabisa duniani ni death adder sumu yake inaua baada ya masaa sita unakuwa unawapotosha wasiojua na kwa jambo hili unakosea sana.

Black Mamba sumu yake inachukua dk 15 mpaka masaa 3 kuua mtu kutegemeana na nature ya kuuma kwake. Ndani ya dk 15- masaa 3 mtu anaiachia roho imtoke hiv hiv

Taipan- huyu ndani ya saa moja roho yako inatenganishwa na mwili na unaenda kunakostahili wewe kuwepo. Kama ni mbingun au jehanam

Inland Taipan- huyu anamua binadam mtu mzima kwa ndani ya dk 45. Mtu analala halijojo akiwa amejisaidia na ku surrender kila kitu.

Sasa unaposema death adder ndo nyoka mwenye sumu duniani na sumu yake inaua after 6 hours unakuwa unatukosea sisi wengine. Lakini kwa suala la mishale na sumu kuna wataalam wanaitwa wahadzabe hawa wana sumu ambayo wanaipaka kwenye mishale yao na inaua nyati ndani ya saa moja. Hiyo sumu hupakwa kwenye mshale ipo kama utomvu au chewing gum nyeus.

...

Nimekata baadhi ya maandishi ili nisisumbue wenye simu.
Halafu hili neno 'Wenye ufahamu tupo' una maana gani mkuu? Kwamba unadhani naandikia wajinga au?

kiumbe husemwa kina sumu kali kwa kuangalia kimesababisha fatalities ngapi kwa mwaka, check fatality rate ya hao nyoka wote.

cheki sumu ambayo anaiachia death adder anapomuuma mtu na hao nyoka wengine uliowaorodhesha, onyesha accuracy ya death adder na hao wengine pindi wanaposhambulia.

At the mean time ngoja niconsult sources, nina mashaka na huo muda wa hao nyoka wengine ulioandika.
 
...
. Lakini kwa suala la mishale na sumu kuna wataalam wanaitwa wahadzabe hawa wana sumu ambayo wanaipaka kwenye mishale yao na inaua nyati ndani ya saa moja. Hiyo sumu hupakwa kwenye mshale ipo kama utomvu au chewing gum nyeus.
Mfano binadamu akichomwa na huo mshale akienda hospitali hatapona?
Mimi nilikua naonyesha effectiveness ya mshale na bunduki, na hoja yangu ilikua kwamba ukichomwa mshale rate ya kupona ni kubwa kuliko ukipigwa risasi.
 
Mimi na deal nao nyoka. Sana. Nmekaa mazingira yao kwenye shughuli zangu za kikazi na masomo pia. Nina kitabu kabisa kuhusu nyoka,nge ,tandu na buibui. Nawafaham hawa kiasi cha kutosha si kwa kusimuliwa. Nmekaa kwenye mapori ya arusha, tabora, congo, australia, venezuela, america kusini, mtwara. N.k nawafaham kiasi

Nimekata baadhi ya maandishi ili nisisumbue wenye simu.
Halafu hili neno 'Wenye ufahamu tupo' una maana gani mkuu? Kwamba unadhani naandikia wajinga au?

kiumbe husemwa kina sumu kali kwa kuangalia kimesababisha fatalities ngapi kwa mwaka, check fatality rate ya hao nyoka wote.

cheki sumu ambayo anaiachia death adder anapomuuma mtu na hao nyoka wengine uliowaorodhesha, onyesha accuracy ya death adder na hao wengine pindi wanaposhambulia.

At the mean time ngoja niconsult sources, nina mashaka na huo muda wa hao nyoka wengine ulioandika.
 
Hapa patamu. Watu wanabishana kwa vielelezo. Endele kutupa somo si wengine tusio jua
 
Mimi na deal nao nyoka. Sana. Nmekaa mazingira yao kwenye shughuli zangu za kikazi na masomo pia. Nina kitabu kabisa kuhusu nyoka,nge ,tandu na buibui. Nawafaham hawa kiasi cha kutosha si kwa kusimuliwa. Nmekaa kwenye mapori ya arusha, tabora, congo, australia, venezuela, america kusini, mtwara. N.k nawafaham kiasi
Kama hivyo basi inabidi iwe rahisi kurespond juu ya hii post.
Nimekata baadhi ya maandishi ili nisisumbue wenye simu.
Halafu hili neno 'Wenye ufahamu tupo' una maana gani mkuu? Kwamba unadhani naandikia wajinga au?

kiumbe husemwa kina sumu kali kwa kuangalia kimesababisha fatalities ngapi kwa mwaka, check fatality rate ya hao nyoka wote.

cheki sumu ambayo anaiachia death adder anapomuuma mtu na hao nyoka wengine uliowaorodhesha, onyesha accuracy ya death adder na hao wengine pindi wanaposhambulia.

At the mean time ngoja niconsult sources, nina mashaka na huo muda wa hao nyoka wengine ulioandika.
 
When JF was JF.
Mimi na deal nao nyoka. Sana. Nmekaa mazingira yao kwenye shughuli zangu za kikazi na masomo pia. Nina kitabu kabisa kuhusu nyoka,nge ,tandu na buibui. Nawafaham hawa kiasi cha kutosha si kwa kusimuliwa. Nmekaa kwenye mapori ya arusha, tabora, congo, australia, venezuela, america kusini, mtwara. N.k nawafaham kiasi
 
achana na kitu!koboko(black mamba)yaan akung'ate then ukatize masaa 2?weka mbali na viumbe hai. aisee..
 
Kuna baadhi ya silaha haziko effective haraka mfano mshale au mkuki.
Utendaji kazi wake hutegemea mtu kakupiga sehemu gani na mlikua umbali gani wakati anakupiga mshale, mara zote anayechomwa mshale hafi papo hapo (achana na movies) na kama atapata msaada wa matibabu hupona kabisa.

Note: sijasema msaada wa haraka kwa kua mshale unaweza kukaa nao mwilini hata siku mbili na usife, kuna kesi ya jamaa kuchomwa mishale zaidi ya mitano na akatembea mwenyewe kwenda kwenye matibabu. Na akapona.
Hapa Tanzania kuna jamaa alichomwa mkuki wa mdomo ukatokea shingoni na akapona.

Hata kama mshale/mkuki utakua ni wa sumu bado hauwezi kuua kwa haraka, nyoka mwenye sumu kali kabisa duniani, death adder, sumu yake huua baada ya saa 6. Na ukienda hospitali utapona.
Kiumbe chenye sumu kali kabisa, Stone fish, huua baada ya saa saba na hapa uhakika wa kufa upo kwa kua stone fish haijapatikana kinga yake bado, na anapatika Australia.
Huyo mmsasai au mmang'ati wa kwenda kuchukua sumu ya stone fish na kurudi nayo huku ili akuchome kweli atakua amedhamiria kukuua.
Asante kwa Maelezo yaliyotukuka kuhusu sumu ya nyoka.

Kuna siku majira ya saa saba usiku mama mmoja jirani aligongwa na nyoka sasa mimi nina boxer, nilimpakia lakini huo mwendo nilipenda nao laiti ningekuwa na hii elimu ya sumu ya nyoka nisingeendesha hivyo.

Shukran.
 
Kuna baadhi ya silaha haziko effective haraka mfano mshale au mkuki.
Utendaji kazi wake hutegemea mtu kakupiga sehemu gani na mlikua umbali gani wakati anakupiga mshale, mara zote anayechomwa mshale hafi papo hapo (achana na movies) na kama atapata msaada wa matibabu hupona kabisa.

Note: sijasema msaada wa haraka kwa kua mshale unaweza kukaa nao mwilini hata siku mbili na usife, kuna kesi ya jamaa kuchomwa mishale zaidi ya mitano na akatembea mwenyewe kwenda kwenye matibabu. Na akapona.
Hapa Tanzania kuna jamaa alichomwa mkuki wa mdomo ukatokea shingoni na akapona.

Hata kama mshale/mkuki utakua ni wa sumu bado hauwezi kuua kwa haraka, nyoka mwenye sumu kali kabisa duniani, death adder, sumu yake huua baada ya saa 6. Na ukienda hospitali utapona.
Kiumbe chenye sumu kali kabisa, Stone fish, huua baada ya saa saba na hapa uhakika wa kufa upo kwa kua stone fish haijapatikana kinga yake bado, na anapatika Australia.
Huyo mmsasai au mmang'ati wa kwenda kuchukua sumu ya stone fish na kurudi nayo huku ili akuchome kweli atakua amedhamiria kukuua.
Wacha uongo bwana nyoka mwenye sumu kali ni koboko akikugonga haumalizi hata dakika 10 unakufa na mwingine ni king cobra ndani ya nusu saa lazima ufe.
 
Hivi jambazi anayekuvamia kwako usiku huku amekushikia mshale, na jambazi aliyekushikia bastola, yupi utamuogopa zaidi?
 
Jamaa wazo lake ni lizuri ila namna ya kuliwasilisha. Skia ninja.

Mshale ukikupata sehemu mbaya kama tumbo au kifua maumivu yake ni makali saana. Mfano tumbo ukipigwa Mshale hatutaweza kuuchomoa kwa upande ulipotokezea inabidi tuupige utokezee upande wa pili kulingana na nature yake.

Sitaki kuulinganisha na bunduki ila Mshale unamaumivu na kama unasumu hauchukui hata 5min unaenda kwa Israel.
 
Wacha uongo bwana nyoka mwenye sumu kali ni koboko akikugonga haumalizi hata dakika 10 unakufa na mwingine ni king cobra ndani ya nusu saa lazima ufe.
Mimi kila nilichoandika nina sources za kuback up wewe hiki ulichosema kina ukweli?
Lete sources zako

NB. Kiumbe kikiitwa 'King' siyo kwamba ni hatari hapana ila inamaanisha hua kinakula viumbe wenzake wa aina hiyo. Hivyo cobra mwenye hilo jina king hua anakula cobra na nyoka wengine.
 
Ila mshare dah bora pistol tu kufa nitakufa tu kwa vyote ila maumivu yatatofautiana
 
Ndugu unapoandika usisahau na sisi wenye ufaham tupo. Unaposema nyoka mwenye sumu kali kabisa duniani ni death adder sumu yake inaua baada ya masaa sita unakuwa unawapotosha wasiojua na kwa jambo hili unakosea sana.

Black Mamba sumu yake inachukua dk 15 mpaka masaa 3 kuua mtu kutegemeana na nature ya kuuma kwake. Ndani ya dk 15- masaa 3 mtu anaiachia roho imtoke hiv hiv

Taipan- huyu ndani ya saa moja roho yako inatenganishwa na mwili na unaenda kunakostahili wewe kuwepo. Kama ni mbingun au jehanam

Inland Taipan- huyu anamua binadam mtu mzima kwa ndani ya dk 45. Mtu analala halijojo akiwa amejisaidia na ku surrender kila kitu.

Sasa unaposema death adder ndo nyoka mwenye sumu duniani na sumu yake inaua after 6 hours unakuwa unatukosea sisi wengine. Lakini kwa suala la mishale na sumu kuna wataalam wanaitwa wahadzabe hawa wana sumu ambayo wanaipaka kwenye mishale yao na inaua nyati ndani ya saa moja. Hiyo sumu hupakwa kwenye mshale ipo kama utomvu au chewing gum nyeus.
Nakubaliana na wewe mkuu, black mamba hafai
 
Back
Top Bottom