Kachangamtoto
Member
- Dec 4, 2012
- 82
- 28
Kiwanda kipya cha Sungura cement (Kilimanjaro cement) chafungwa, wazalendo wote wasimamishwa miezi 3 bila malipo yoyote, wabakizwa wahindi tu kiwaandani kufanya kazi.
Je, uzalendo wa nchi yetu uko wapi? Kwanini watanzania wazalendo wasimamishwe bila malipo yeyote wabakizwe wagen tu?
Watu wa labour office mko wapi. Haki iko wapi? Watu waliacha kazi sehemu mbalimbali na kujiunga hapo hatimae wote pia wamesimamishwa.
Kwa uelewa wangu mdogo mtu unavyokuwa na project pia unakuwa na hela za ziada za kulipa wafanyakazi wakati wanasubiri mzigo uingie sokoni.
Sasa hawa wanasema hawana hela ya kulipa watu hadi watakapoanza kuuza mzigo sokoni.
Je, hii ndio Tanzania ya viwanda tunayoiandaa?