Nini umuhimu wa Afisa Utumishi?/Meneja Mwajiri kwenye taasisi za umma?

Apr 19, 2017
6
27
Hawa watu wa hovyo sana, hizi nafasi zingefutwa tu kama walikuwepo na wafanyakazi hewa au vyeti feki vinapatikana na uzembe mwingine wa ajabu, sidhani kuwa walikua hawajui kua kuna wafanyakazi hewa au wenye vyeti feki, yani hawa ma HR ndio wangefukuzwa na kufungwa.
 
Mameneja Waajiri wakati mwingine wanapikea maelezo kutoka juu (boss wake) kumpatia mtu fulani katika nafasi tajwa.

Pili, kuna nafasi ambazo meneja muajiri hahusiki kabisa. Mfano, walimu wanapopangwa katika vituo vyao vy kazi, meneja muajiri hajahusika katika kufanya vetting....

Tungeliwalaumu zaidi mameneja waajiri endapo hao waliokuwepo walishindwa kutimiza majukumu yao ipasavyo...

Barikiwa.
 
Back
Top Bottom