Tetemeko la ardhi limepita Bukoba leo tarehe 30 Aprili, 2017

Dan Geoff P

Member
Jan 16, 2012
86
100
Habari ya muda huu na usiku huu mnene,

Bukoba tena. Tetemeko lililodumu kwa takribani dakika moja na nusu limepita muda huu mjini Bukoba. Baadhi ya wananchi ambao bado tunakumbuka ya tarehe 10/09/2016 tumejikuta tukikimbia nje na watoto wetu.

Sasa nimeanza kuamini Bukoba sio salama sana kwa matetemeko.

 
Limepita kubwa sana, ngoja tusikilizie matokeo kesho, limedumu dakika nzima
 
Habari ya muda huu na usiku huu mnene. Bukoba tena. Tetemeko lililodumu kwa takribani dakika moja na nusu limepita muda huu mjini bukoba. Baadhi ya wananchi ambao bado tunakumbuka ya tarehe 10/09/2016 tumejikuta tukikimbia nje na watoto wetu. Sasa nimeanza kuamini bukoba sio salama sana kwa matetemeko.
hatari msaada kwa TMA
 
Poleni sana na Mungu awanusuru
Vipi hali halisi na usalama kwa ujumla kwa muda huu usalama wa watu na mali zenu upo vipi?
 
Poleni sana na Mungu awanusuru
Vipi hali halisi na usalama kwa ujumla kwa muda huu usalama wa watu na mali zenu upo vipi?
 
Poleni sana na Mungu awanusuru
Vipi hali halisi na usalama kwa ujumla kwa muda huu usalama wa watu na mali zenu upo vipi?
Mkuu ni ngumu kufahamu maana muda huu ni usiku sana. Mm nipo guest house nimelala, binafsi nimelisikia pia likiwa lipo mwishoni.
 
Wanajf, salaam!!
Katika hali ya kutia hofu usiku huu tetemeko la ardhi limetokea tena hapa Mkoa Kagera. Bado hakuna taarifa za madhara makubwa yatokanayo na TETEMEKO hilo.
 
Back
Top Bottom