Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,956
Watumishi hewa Eluf 17 watu walikuwa wakinufaika kwa kiasi kikubwa sana, huku wakijifanya kutetea haki za wanyonge.
Wenye vyeti feki ni zaidi ya Eluf 12. Hii ni Idadi kubwa sana.
Kwa hali sasa nimeelewa ni kwanini Rais na Serikali yake inapigwa vita sana.
Kumbe wanaomponda Rais si wakeleketwa wa Vyama tu, kumbe kuna hili kundi kubwa nyuma yake.
Natanguliza pole kwa JPM kwa mashambulizi yatayo kupata.
Swali la kujiuliza je;
Kutokukagua vyeti vya wanasiasa ni sahihi??.
Hili liangaliwe upya.