commernder
Member
- Mar 5, 2017
- 34
- 19
Wadau habari,katika pitapita yangu Facebook nkakutana na profile ya mama Salma Kikwete ati inasema kuwa anakopesha mikopo kuanzia 2m hadi 10 m sasa kwa njia ya kijaza fomu hiyo ni saccoss,sasa wanasema uweke akiba kwanza,nilijaribu kujaza lakini sikuweka akiba nkijua waweza kuwa matapeli,hebu nisaidieni kuna aliyeiona account anisaidie ukweli wake.