Nikiangalia jinsi matusi yanavyotiririkaga instagram najiuliza hivi ushahidi wake hautoshi kumfunga mtu.au insta ni ardhi isiyotawalika kisheria?njooni mtujuze
Kumekuwepo na taarifa kwamba eti wanataka kumshatki DJ Murphy kwa kutafsiri movie za nje kwa kiswahili, aisee hawa wehu tumewalegezea sana embu twende nao samba sasa kama mbwai iwe mbwai tu.
Hawa...
Waliahidi kwenda mahakamani kufungua shauri kuhusu makato makubwa ya bodi ya mikopo yaliyovunja sheria. Mpaka leo wamezubaa , LHRC ndio wamekwenda mahakamani. Wafanyakazi kataeni kukatwa hela...
Habari wanajukwaa,ni mara yangu ya kwanza kuposti topic kwenye jukwaa hili,naamini nitapata majibu kulingana na taratibu na kanuni ili nipate kuelewa.
Kama kichwa cha habari kinavyouliza Je ni...
Mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 28 hapa tangu nimalize chuo kikuu miaka 4 iliyopita sijafanikiaa kupata ajira na nimeshidwa kujiajiri kutokana na kukosa mtaji wa kibiashara...
*KAMATI MAALUM UVCCM VYUO NA VYUO VIKUU MKOA WA DSM YATEULIWA*
Mkuu Wa Idara Ya Vyuo Na Vyuo vikuu (UVCCM) Taifa Ndugu Daniel Zenda Leo Tarehe 3/05/2017 Amekutana na Kufanya Kikao Na Wenyeviti Na...
eid Mubarak wana jf
naombeni ufafanuzi katika hili
jana nilikiuwa naangalia habari citizen TV ya Kenya. kulikuwa na taarifa kwamba waislamu wa kenya wameungana na waislamu wengine siku ya jana...
Nimekusikia mahala ukisema kuwa Tanzania imechukuwa Wataalam wa kufanya Master Plan ya Mkoa wa Dodoma kutoka nchini Singapore kwahiyo ndiyo kusema Wataalam wetu wa Chuo cha ARDHI ni bogus au ni...
Kwa mtazamo wangu Flora kufunga ndoa ya pili yuko sahihi kabisa...hila yuko sahihi kwa mtazamo wake yeye mwenyewe.
Ila kwa mtazamo wa wakristu ni kosa kubwa, Flora umetibu mwili tu.. Na mwili...
Nimekaa nimejiuliza kwanini unaweza ukavumilia kukaa na vinyesi vya kuku, bata, ng'ombe, mbuzi, kondoo, au hata nguruwe bila shida yoyote lakini huwezi kuvumilia kukaa na kinyesi cha mbwa, paka na...
Mzuka Wanajamvi,
Kama mnavyojua vita kali inaendelea huko Iraq kuwaondoa wahuni wa ISIS Mosul. Lakini jambo la kufurahisha nimekuja kugundua huu mji wa Mosul ndio hule Yona alitumwa na Mungu...
Jeshi la Polisi mkoani Pwani, linawashikilia watu wawili wakazi wa Kibiti kwa tuhuma za kukutwa na fuvu la kichwa cha binadamu.
Alithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
Wakuu heshima kwenu!
Baada ya kutembelea vivutio vya UTALII kwa wingi vilivyopo Tz,nimeamua kwenda kupanda mlima Himalayas na nataka nifike hadi 7,000meters.
Sasa najua watz wengi ni...
Naombeni niulize nina miaka 25 kazini bahati mbaya nilitumia cheti cha mtu wamenigundua ni miongoni mwa list ya watu wenye vyeti feki / kubushi sasa kutakuwa na kiinua mgongo kidogo au ndo...
Kupata maarifa na stadi za maisha ni jambo endelevu
Awamu ya tano ya uongozi wa mheshimiwa imenifunza yafuatayo.
#1. Kutosikiliza watu pale unapokuwa na mipango yako
#2...Kuwa upande wa...
Msanii wa muziki wa asili nchini, Mrisho Mpoto amedai toka aonyeshe nia yake ya kumuunga mkono Rais John Pombe Magufuli amekuwa akitukanwa pamoja na kutupiwa maneno ya kejeli.
Muimbaji huyo...
Nipo natazama ITV mubashara, naona baadhi ya wafanyakazi wanashangilia sana lkn wengne wanaonekana hawana shauku yoyote ila ni kama wamelazimishwa. Naomba mniondoe utata hapa, hivi ni kweli furaha...
Kuna bonge LA foleni ubungo mataa..kuna chuma kikubwa kimedondoka kimefunga njia ya mwendo kasi
Naona winch la UDART ndiyo wanapambana kulitoa..watu wamedoda kwenye foleni.
Jamani Nina rafiki yangu alinitafuta siku mbili tatu hizi alikuwa na shida kama elfu 30 alikuwa na matatizo kidogo ya kifamilia nimsaidie elfu 30.
Basi kwa vile mshikaji namfahamu nilienda...