Wizara ya usafirishaji,wizara ya elimu,wizara ya mambo ya ndani wafanye jitihada wakishirikiana na wananchi wote. Si ajabu kukuta basi la kubeba wanafunzi likiwa na wanafunzi zaidi ya kiwango...
Nimesikia Leo ktk ripoti za vyombo vya habari kuwa utafiti unaonesha kuwa mikoa ya Dodoma na Singida unaongoza kwa udumavu wa akili kufika asilimia 32.8.
Na tatizo hilo limetokana na lishe duni...
Habari za wakati huu bandugu.
Ndugu zangu katika mtandao wetu pendwa wa Jf,binafsi mimi ni mpenzi wa kusoma vitabu pamoja na kusikiliza speeches mbali mbali za motivational speakers.
Moja kati...
Jana nimepokea ujumbe kutoka Airtel wakiniambia wanitoza sh. 180 kama maitainance charges kwa kuwa sijatumia Airtel money. Hii imekaaje wakuu? Kwa uelewa wangu bank ndo zinatoza hii ada. Sijajua...
Mtu mmoja Aitwae Amri Chanjale (55), mkazi wa kitongji cha Makaravati katika Kijiji cha Umwe Kusini wilayani Rufiji ameuawa kwa kupigwa risasi akiwa nyumbani kwake.
Tukio hilo limetokea jana saa...
MKAZI wa Mrito, kata ya Kemambo Nyamongo aliyefahamika kwa jina Chacha Magige (30) amehukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kwa kumkatakata kwa panga sehemu...
Bado kunawatumishi ambao wanamiliki vyeti visivyokua vyao, wamebahatika panga limewakosa kosa, kutokana na ukweli kuwa:
1. Wamiliki halali walikuwa watumishi wa serikali, lakini walishatangulia...
Nimetafakari na kutathmini tangu utawala wa awamu ya 5 ushike madaraka kila operation inayofanywa na serikali hii ikiongozwa na Rais Magufuli imekuwa ikiacha impact mbaya kwa wananchi wa hali ya...
Maelezo ktk screenshot hapo juu yanasema huyo jamaa "kampiga" mmama wa watu mimilioni ya dorali kwa sasa anatafutwa na polisi wa mayville north Dakota,USA.
Hii ni picha yake nyingine akiwa na...
Taarifa zilizothibitishwa na Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Juma Njwayo zimeeleza kuwa Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kifuru wilayani Rufiji, Hemed Njiwa ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana...
Jamani huku kwetu kati Halmashauri yetu watumishi tumekua tukilazimishwa kuchangia michango kwa ajili ya MWENGE. Ninachouliza huu utaratibu ni wa nchi nzima au ni ubunifu tuu wa great thinkers wa...
Ubalozi wa Umoja wa Ulaya (Tanzania) leo umezungumzia changamoto zinazovikumba vyombo vya habari nchini.
Balozi Roeland Van de Geer amesema uhuru wa kujieleza ni haki ya msingi ya wananchi na...
Ajali kati ya lori na fuso imetokea eneo la Tabata Mwananchi, watu 2 wamepoteza maisha, Polisi,Zimamoto wanaendelea kufanya uokoaji.
Ajali imetokea leo saa tisa usiku. Dereva wa fuso aliligonga...
Hivi karibuni tumeshuhudia kutekelezwa kwa agizo la mkuu wa nchi la kuwaruhusu TANESCO Kukata huduma za umeme katika taasisi za umma zenye madeni sugu ambapo kule Arusha Jeshi la Polisi na...
Hbr Za Asubuhi Jf.Kaka Amezungumza Na Bosi Wake Huku Akiomba Jambo Hilo Lisiende Mbali Wamekubaliana Kuwa Bosi Atawatunza Watoto Wote Wawili Pia Kaahidi Kuwasomesha Lkn Tatizo Lipo Kwa...
Hata mimi nikiitwa kichaa na mfanyakazi mwenzangu aliyechini yangu kwenye kampuni ninayoiongoza au shirika lazima nimpe likizo ya ghafla au kumsimamisha.
Je, nyinyi mngefanya nini?
FUNZO KUBWA SANA HILI
Mwanamke mmoja alikuwa akifanya kazi katika kiwanda cha kusindika nyama. Siku moja baada ya kumaliza kazi zake pale kiwandani alienda katika chumba chenye freezer (cold...
Najua kwa vyovyote una wadau humu kwahiyo watakupa taarifa ama la Pengine hata wewe mwenyewe ni member hapa
Ni wazi kwamba biashara ni matangazo na kwa sehemu kubwa ya matangazo yetu yamejaa...
Habari za asubuhi,naomba tupeane ushauri kwa sisi vijana tunaonza maisha kwenye mpangalio wa chakula,maana naona vyakula vimepanda bei sana kuanzia mchele,sembe na sukari sasa ni bora niwe napika...