Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hivi wote walioajiriwa Serikalini walifuata utaratibu wa ajira unavyotakiwa?. 1. Je palikuwa na Tangazo la kazi kwenye Shirika au Taasisi husiki...( ref. Ofisi ya Vitambulisho vya Taifa) 2. Je...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Mungu azilaze roho za marehemu pahali pema amin
2 Reactions
18 Replies
6K Views
MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI ✍Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa...
4 Reactions
6 Replies
3K Views
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amenunua hisa za kampuni ya Vodacom Tanzania Plc zenye thamani ya sh. milioni 10 pamoja na nyingine za sh. milioni 10 kwa ajili ya mke wake, Mary Majaliwa. Waziri Mkuu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
FISADI WA KUZALIWA Ni kwa miaka mingi nchi ya Chamongo iligubikwa na wimbi zito la ufisadi na kujilimbikizia madaraka,tena kwa wale wasio na sifa ya kuwa na madaraka hayo. Wasomi na...
0 Reactions
3 Replies
994 Views
*MAJONZI MAJONZI* [emoji24][emoji26][emoji29][emoji24][emoji29][emoji24][emoji29][emoji24] Nawasha yangu kurunzi Nianze andika utenzi Moyoni nina majonzi Mwili wajawa na ganzi Ghafla...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Ukiangalia hayo majina colum ya mwisho inasema matokeo hayajakamilika (results -incomplete), je, ni matokeo ya chuo walichosoma au la? Naomba anayejua anifahamishe
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wana jamvi Leo nimepata muda wa kupitia pitia Google Maps kuangalia maeneo tofauti tofatuti. Lakin nilipofika katika ziwa nyasa vitu vya kushtusha naviona mbele ya macho yangu.kwa kifupi...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Mfalme Salman Bin Abdul-azizi ametoa msaada wa tende tani mia 100 kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ikiwa ni sadaka kwaajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Akikabidhi msaada huo Naibu Balozi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu wadau, Kama mnavyojuwa utamaduni wetu wa TZ pale mmoja wetu anapokuwa mgojwa kunakuwa na utaratibu wa kupeana pole hasa inapokuwa ni kiongozi mkuu kama Comredi Kinana na Vyombo vya Habari...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Hali si shwari mtaani just imagine hii ni saut ya mbaba mmoja hapa mtaani mbezi kwa msuguri.... Namkuu .... Naenda kibadilisha mtungi wa gesi toka 18000 mwezi jana hadi 21000 mwezi huu...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Akiwa katika MKUTANO wa hadhara wa kampeni aliwatangazia wananchi kuhusu tukio hilo. Amenipa Picha kuwa tuko pamoja anafaa kuungwa mkono katika kampeni yake arudi ofisini japo ana KAZI ngumu dhidi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi mfano nikitaka kurudi reverse katika Highways sheria inanielekeza nipite upande gani wa barabara? Naombeni msaada kuna gari imeharibika upande wa gear inakubali reverse tu na inatakiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
karibuni wazee kwani wanawawake wenye makalio makubwa wananipa pressure
1 Reactions
19 Replies
5K Views
jamani wana jf kuna jirani yangu huyo ananichukia bila sababu yaani hata sijui ni kitu gani nilichowahi kumkoseaa ,kuna muda niliwahi kumtafuta nizungumze nae kama jirani yangu kwa nijue...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Muendelee kuwa kazini mpaka pale waajiri wenu watakapowaandikia barua za kuwafukuza kazi. Je wakurugenzi mudà utapofika watakubali kuandika barua hizo au watasema agizo limeshatolewa na mkuu wa nchi.
1 Reactions
3 Replies
956 Views
Keko Kuna shimo kubwa barabarani kwanza ni hatari kwa Gari kupinduka lakini pia foleni wenye mamlaka mpo wapi mahali penyewe ni keko fenirture
0 Reactions
4 Replies
839 Views
Hii nchi inawatu wa ajabu sana, kila siku inaweka mazingira kandamizi kwa sekta binafsi. Inakuwaje hospital kama Bugando KCMC zinapewa ruzuku ya serikali halafu shule binafsi zinazotoa huduma kwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naomba nishangae kidogo Eti mtu anatumia cheti cha mtu anajigamba? Huu ni uwendawazimu..nadhani watanzania tunacheza na sheria. Ina maana watu hawajui kutumia cheti cha mtu ni kosa? Hivi mtu eti...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…