Chanzo cha vifo vingi: Ajari ya wanafunzi wa Arusha

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Jul 11, 2013
2,674
2,801
Wakuu,
Kabla ya yote, natoa pole kwa familia, Ndugu na marafiki waliofikwa na msiba huu katika ajari ya Bus.

Lakini pia nitoe pongezi kwa watanzania wenzangu ambao kwa namna moja au nyingine wameshiki katika kuwatia moyo na kuwapa pole wafiwa.

Ni kweli tujuavyo kwamba ajari haiepukiki lakini kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kuna baadhi ya ajari zinaepukika.

Kwa utafiti mdogo niliyo ufanya nimegundua baadhi ya mambo ambayo yamepelekea kutokea kwa vifo vingi vya wanafunzi hawa.

1. SEAT BELT
Kuna kila dalili Bus haikuwa na seat belts, na hata kama ilikuwepo wanafunzi hawakufunga ile mikanda. Ukiangalia mwonekano wa Bus, sehemu kubwa iliyopondeka ni sehemu ya Mbele na karibia robotatu ya Bus halijapondeka Sana. Sasa kama kila mwanafunzi angekuwa kafunga mkanda wanafunzi waliokaa siti za nyuma wengi wangepona.

Kwa sababu hakukuwa na seat belt ilipelekea wanafunzi na walimu wao wote kulushwa mbele ya gari baada ya gari kukita kwenye kolongo.

2.UZEMBE WA DEREVA
Kuna kila dalili palikuwa na uzembe. Dereva alikuwa speed kubwa na gari likamshinda kwenye kona ukizingatia na ubichi wa barabara kutokana na mvua zinazoendelea.

OMBI LANGU:
wazazi/Waalimu tuwe makini muda wote na hawa watoto wetu hasa kwenye hizi School Bus, kuna ka tabia ka kulundika watoto, unakuta seat ya watu wawili watoto wamewekwa wanne. Inapelekea watoto kushindwa kufunga mikanda.

Mungu atusaidie!
8a011719fea1b973d9ac74c8002f2051.jpg
fe04d97ef12d6ec7e4ef29725cd21e07.jpg
 
Mimi nilishachoshwa na hawa wanaotakiwa kudhibiti vyombo vya moto kwani imekuwa kawaida hawa madreva wa wanafunzi kuendesha magari kama vile wamevuta bangi.
Licha ya kulundika watoto kupita uwezo wa siti za gari,bado wamekuwa hawajali sana wanapikuwa barabarani.Pia umri wa madereva hawa ni tatizo.Nadhani watu wazima ndio wangefaa kuendesha magari ya wanafunzi kuliko hawa vijana.
 
Naunga mkono hoja.Kuna haja ya kuwa na umakini wa ziada katika kuajiri madereva wa school bus.Dereva inafaa awe na umri wa makamo kuanzia miaka 40 na kuendelea na awe na uzoefu.
Ila saa zingine hizi shule zinakodisha dala dala lolote zinapotokea school trips.Na tunajua wazimu wa madereva dala dala.
 
Kuhusu mikanda ni kweli...ingewasaidia kwa kweli lakini ndio hivyo yashatokea tusilaumu sana. Mungu awatie nguvu familia za wafiwa katika kipindi hiki kigumu.
Sio kulaumu.Inapasa tufanye utafiti wa kina ili kupunguza uwezekano wa hii balaa kujirudia.
KUSIKITIKA TU HAITOSHI.
Tuziangalie sheria na taratibu zetu za usalama wa vyombo vya moto hususani hizi school buses.
 
Mimi nilishachoshwa na hawa wanaotakiwa kudhibiti vyombo vya moto kwani imekuwa kawaida hawa madreva wa wanafunzi kuendesha magari kama vile wamevuta bangi.
Licha ya kulundika watoto kupita uwezo wa siti za gari,bado wamekuwa hawajali sana wanapikuwa barabarani.Pia umri wa madereva hawa ni tatizo.Nadhani watu wazima ndio wangefaa kuendesha magari ya wanafunzi kuliko hawa vijana.
Watu likishatokea tatizo mnakua na vimaneno sana, kwahiyo magari yote yanapopata ajari hua madereva ni vijana? Mambo mengine hutokea kwa bahati mbaya tu sema impacts zake ni kubwa kama hivyo
 
Wakuu,
Kabla ya yote, natoa pole kwa familia, Ndugu na marafiki waliofikwa na msiba huu katika ajari ya Bus.

Lakini pia nitoe pongezi kwa watanzania wenzangu ambao kwa namna moja au nyingine wameshiki katika kuwatia moyo na kuwapa pole wafiwa.

Ni kweli tujuavyo kwamba ajari haiepukiki lakini kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kuna baadhi ya ajari zinaepukika.

Kwa utafiti mdogo niliyo ufanya nimegundua baadhi ya mambo ambayo yamepelekea kutokea kwa vifo vingi vya wanafunzi hawa.

1. SEAT BELT
Kuna kila dalili Bus haikuwa na seat belts, na hata kama ilikuwepo wanafunzi hawakufunga ile mikanda. Ukiangalia mwonekano wa Bus, sehemu kubwa iliyopondeka ni sehemu ya Mbele na karibia robotatu ya Bus halijapondeka Sana. Sasa kama kila mwanafunzi angekuwa kafunga mkanda wanafunzi waliokaa siti za nyuma wengi wangepona.

Kwa sababu hakukuwa na seat belt ilipelekea wanafunzi na walimu wao wote kulushwa mbele ya gari baada ya gari kukita kwenye kolongo.

2.UZEMBE WA DEREVA
Kuna kila dalili palikuwa na uzembe. Dereva alikuwa speed kubwa na gari likamshinda kwenye kona ukizingatia na ubichi wa barabara kutokana na mvua zinazoendelea.

OMBI LANGU:
wazazi/Waalimu tuwe makini muda wote na hawa watoto wetu hasa kwenye hizi School Bus, kuna ka tabia ka kulundika watoto, unakuta seat ya watu wawili watoto wamewekwa wanne. Inapelekea watoto kushindwa kufunga mikanda.

Mungu atusaidie!
8a011719fea1b973d9ac74c8002f2051.jpg
fe04d97ef12d6ec7e4ef29725cd21e07.jpg

Hata Mimi Kwa picha inavyoonekana sikuamini kama wanafunzi wangekufa kiasi hicho. Ni dhahiri seat belts hazikutumika ipasavyo.
 
Kuna wakati kuna mambo ya kutisha na kushangaza sana... Kwa mwonekano wa kawaida wa gari hii sio ajali ya kuondoka na roho nyingi kiasi hiki
IMG-20170506-WA0044.jpg
IMG-20170507-WA0008.jpg
 
Kwa tunaoijua ile barabara,ajali nyingi hutokea kuanzia pale milima ya kimatembo mpaka rotia.Ni sehemu hatari sana,tuchukue tahadhari
 
Suala la uɓovu na tatizo la hao wanaosimamia watoto kwenye hizo school bus lishemwa sana humu ,ƙuwa magari mengi mabovu ,watoto wanajazwa sana ila wahusiƙa wakawa ƙimya
 
Back
Top Bottom