Faru fausta
JF-Expert Member
- Apr 29, 2017
- 218
- 143
huyu dogo badala ya kuamkia kanisani yeye anaamkia kuiba kuku sasa makubwa yamemkuta
Aura.........Amevuna alichokukipanda muache usimsumbue na picha zako
Ilivyotimia siku 39 alitakiwa atulieZa mwizi 40.
Pole sana kakaNina hasira na hawa wanaotuibia , mwezi uliopita wameanua banda langu wameondoka na kuku wameniachia vifaranga. Nikiwa mmoja wa waliowakamata sitasita kuchangia petroli, wanaudhi sana hawa vibaka
Kwani kakwambia yeye ni muumini wa kanisa?huyu dogo badala ya kuamkia kanisani yeye anaamkia kuiba kuku sasa makubwa yamemkuta
Yaani nimeshajiapiza akidakwa mwizi sijiulizi hata mara moja ni petroli tu. Asante mkuuPole sana kaka
DAWA YA Jeuri ni JeuriYaani nimeshajiapiza akidakwa mwizi sijiulizi hata mara moja ni petroli tu. Asante mkuu
Kabisa mkuuDAWA YA Jeuri ni Jeuri
Anasema maisha magumuMaisha aisee,anatia huruma huyo kijana