jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,142
- 29,670
Ni zaidi ya masaa kumi na mbili sasa transaction kupitia airtel money imekwama na sababu iliyotolewa ni sababu za "kiufundi"
Ingawa kampuni husika ya simu haijatoa public notice au tangazo kwa jamii kwamba kungekuwepo au kuna tatizo la kiufundi na hivyo watu wasitume hela kupitia airtel money.
Kwa nini kampuni za kibongo hazina ustaarabu na zinaendesha mambo kisanii??
Tutumie ukurasa huu kuwajuza wenzetu kuwa tusitume fedha kupitia airtelmoney kwa muda huu kwani zitakwama na utashindwa kuendelea na shughuli zako.
Kwa upande wa TCRA hili mlihesabu kama ni kosa jingine kwa Airtel ni ile adhabu yenu iwashukie.