Vyeti feki vyamuondoa mhudumu wa mochwari

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,581
Vyeti vyamuondoa mhudumu wa mochwari
Screenshot_2017-05-06-16-09-36.jpg
 
Maiti zote alizozihudumia zifukuliwe ili zihudumiwe na mwingine mwenye vyeti halali. Vinginevyo tutazihesabu kama maiti feki.

Sisi hatujaribiwi, not to that extent.
Haha nimecheka kaka huku namie ni muhanga wa vyeti feki
 
Kwani huyo alipatikana wapi mkuu,huko huko walikompata huyu watapata mwingine,tunataka MTU mwenye uweledi na mambo ya maiti asije akawaumiza ndugu zeti,awe na degree moja kwenye field ya medicine!
Ila kwa sasa hakuna mtu hapo mochwari,though atapatikana ila huduma zimesimama.
 
Kwani huyo alipatikana wapi mkuu,huko huko walikompata huyu watapata mwingine,tunataka MTU mwenye uweledi na mambo ya maiti asije akawaumiza ndugu zeti,awe na degree moja kwenye field ya medicine!
Hahahahaaa! Haya mkuu. Siku wakimpata mwenye hizo sifa nistue.
 
me nilijua kukaa mochwari inahitajika ujasiri tu kumbe nako kuna vyeti mmmh
 
Maiti zote alizozihudumia zifukuliwe ili zihudumiwe na mwingine mwenye vyeti halali. Vinginevyo tutazihesabu kama maiti feki.

Sisi hatujaribiwi, not to that extent.

Naskiaga eti wewe ni babu ila izo akili zako kama za mbuni

au ndo ulimbukeni wa kutumia tu vitu twa wazungu
 
Back
Top Bottom