Ajali iliyochukua maisha ya waanety 32, "TRAFFIC HAWAWEZI KUEPUKA LAWAMA"

aliisaac1000

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
407
272
hebu fikirieni ndugu zangu kiwango cha faini wanazotupiga barabarani, tena siku hizi imefikia hatua ya kulazimisha makosa au kuvizia kwa madhumuni tu ya kuingiza pesa, najiuliza hii pesa tunayotangaziwa inaingia kwa mamilioni inakwenda wapi!??? Tulitegemea ingewekezwa basi kwenye vifaa vya ukaguzi, hamna kitu. Kama hilo halitoshi kila mwaka kuna NENDA KWA USALAMA, ambapo tunalipa hela hewa bila ukaguzi wowote kufanyiika, kwakifupi tunanunua sticker kubandika eti gari imeshakaguliwa!! ilihali hakuna ukaguzi wowote physical and expartly done, leo nashangaa vilio na rambirambi lakini hatujiulizi tumewekeza nini kwenye vyombo vya ukaguzi na usalama Wa vyombo vya barabarani?? HAKUNA. Hivyo tusishangae ajali kama hizi zikitokea na haisaidii hata kama tutatawanya maaskari wa traffic njia zote kama vyombo vyenyewe si salama kwa kuwa hakuna perfect road worthiness inspection inayofanyika. Kama hapa traffick makao makuu hakuna, unategemea mini huko mikoani? Lakini buku 30,000 zinaingia kila uchao. Mungu ibariki Tanzania, salute wanetu mahala pema peponi.Amen
 
Back
Top Bottom