Nahisi kwa mbaalii kubebeba boksi kumeanza kunichosha

Kaza mtoto wa kiume duniani hakuna kazi isiyochosha.
Mwambie akaze nyolo mkuu! Nakumbuka miaka ile mr. Nice yuko kwn fomu nilikutana na kuli mmoja kule shimoni kkoo amebeba gunia analalamika eti mr nice anakata viuno anapata ela nyingi huku yeye mwanaume wa shoka akipata mia mbili kwa kubeba mizigo ya nguvu
 
Mkuu ukitaka kuacha, unamtafuta Mbongo mmoja unamuungisha. Maisha yanasonga.

Tupendane sisi kwa sisi.
 
Kama umebadili uraia ubaki tu huko huko, maana MAMA TANZANIA kaja na sera mpya...HAKUNA FOREIGNERS YOYOTE KUCHUKUA UTUKUFU WAKE, ameshafunga njia zote...foreigners watatuleta mali na vipawa nchini kwetu Tanzania, bali hawata ondoka na kitu! IT IS OUR TIME KULA KIVULINI!
 
Mwambie akaze nyolo mkuu! Nakumbuka miaka ile mr. Nice yuko kwn fomu nilikutana na kuli mmoja kule shimoni kkoo amebeba gunia analalamika eti mr nice anakata viuno anapata ela nyingi huku yeye mwanaume wa shoka akipata mia mbili kwa kubeba mizigo ya nguvu
Mkuu maisha ndivyo yalivyo kila kitu kinaenda kwa malengo hata walio fanikiwa walianza na msoto kwanza ni wachache ndio hula bingo kwasababu wanatoka familia bora huyo Mr nice nae alizipata akazitumbua zote kwenye ufuska kuna kipindi alikuwa pale Mwanza anaendesha Bodaboda.
 
Kaa huko huko ndugu, huku tunasomeshwa namba, ukija utajuta. Njoo 2020 tupige kura.
 
Kwa ujinga wa hii serikal ningekua mm nisingerud.... hapa tz tunateseka utafikir tupo almagedon.
 
Back
Top Bottom