Kamanda Mpinga tafadhali school bus zizingatie idadi ya abiria!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
93,950
164,194
School bus hujaza watoto bila kuzingatia sheria za usalama barabarani na hii imekuwa ni mazoea.Chonde chonde afande Mpinga simamia hili kwa ajili ya usalama wa watoto wetu, ahsante!
 
Mie nipo radhi kuchelewa job lkn sio kuona wanangu wanapanda hayo ma-school bus mpk watoto wanakumbatiana
 
School bus hujaza watoto bila kuzingatia sheria za usalama barabarani na hii imekuwa ni mazoea.Chonde chonde afande Mpinga simamia hili kwa ajili ya usalama wa watoto wetu, ahsante!
Mabasi ya abiria kuanzia daladala yamekuwa chanzo cha ajari nyingi na misiba yenye kuleta huzuni kama hii. Tuzibe mianya yenye kuleta maafa badala ya kukazana kukusanya mapato kwa hila kwenye barabara za mijini
 
Back
Top Bottom