Kanusho la Wizara ya Elimu

SDG

JF-Expert Member
Feb 28, 2017
7,631
8,072
Wizara imekanusha stori za wahadhiri waliokutwa na vyeti feki kwenye taasisi za elimu ya juu.
Kuna ujumbe unasambaa wasap,jana nimebahatia kuuona.


UJUMBE UNASEMA::::::::::::
Waziri wa Elimu asema chuo kikuu mzumbe kimepata pigo baada ya walimu wake 30 Prof watano,Dr 9 na wenye masters 15 kuwa na vyeti fake,pia UDSM maprof 4 ,Dr 9 na masters 12 wamekutwa na vyeti fake ,UDOM maprof 4, Dr 9 na Masters holders 12 wamekutwa na vyeti fake, Muhimbili university Maprof 3, Dr 4 na madaktari bingwa 12 wamekutwa na vyeti fake ,Ardhi university maprof 2,Dr 12 na masters holders 12 wamekutwa na vyeti fake, Sokoine university maprof 12, Dr 19 na masters holders 17 wamekutwa na.vyeti fake ,chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere maprof 2,Dr 15 wamekkutwa na vyeti fake , CBE Dr 23 wamekitwa na vyeti fake ,TIA Dr 5 wamekutwa na.vyeti fake ,AIA Dr 3 , Nelsom mandele walimu wote 49 wamekutwa na vyeti fake,Tegeru walimu 31 vyeti faki .Hivyo shime vyuo binafsi nawaomba nanyi zoezi hili lifanyike haraka kuikomboa elimu yetu
IMG_20170508_073022.jpg
 
Back
Top Bottom