KONDOM!

KONDOM!

BAF

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Posts
421
Reaction score
511
Nini tafsiri ya kumfundisha mwanao kutumia KONDOM....
 
ili kumkinga ma maradhi ya zinaa ikiwemo ukimwi.....
pia kuzuia mimba zisizotarajiwa!!!


unless kama nimekurupuka bila kuelewa lengo lako!
 
ili kumkinga ma maradhi ya zinaa ikiwemo ukimwi.....
pia kuzuia mimba zisizotarajiwa!!!


unless kama nimekurupuka bila kuelewa lengo lako!
Mh??
 
Ili ajue kufanya mapenzi akiwa mdogo
At least umefikili nje box,sasa kuna mtangazaji wa radio alikuwa anasisitiza kabisa sio mbayo mzazi kumfundisha mtoto kutumia kondom nilikuwa najiuliza ingekuwaje baba au mama yake angemfundisha kutumia kondom wakati yeye akiwa mdogo nafikili tuwe tunawaza before ya kuongea Kwenye media I'm not against Kondom lakini tuangalie na mazingira gani! Tamaduni zetu haziko huko bado.....
 
Ili ajiadhari na mambo ya wana wake k
wenye ngoma

Hatuja fikia huko fikilia tu kwamba watoto hawafundishwi tendo la kujamiana lakini unakuta ana mimba au amempa mtoto wa watu. Hivyo wanajua zaidi ya tunavyo fikiria
 
Back
Top Bottom