choupa moting
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,508
- 2,561
Habarini za jioni wadau wa jf. Polen na msiba mzito uliolikumba taifa letu kwa kupotelewa na vijana wetu takriban 35. Kwa hakika taifa limepoteza nguvu kaz kubwa mno. Baada ya ule msiba nimepita kwenye social networks nying sana wanatoa pole which is gud thing, ila kuna jambo sijalielewa. Nalo ni kuhusiana na mishumaa km alama ya maombolezo. Hii ni fashion au ni nini? Maana nataman kufanya ila nahis naeza kujikuta naburuzwa maana cjui maana yake. So naomba mwenye uelewa anijuze tafadhal.