Polisi kuwafumbia macho wavuta bangi na madawa

Big Dy

JF-Expert Member
Dec 23, 2015
475
561
Ni dhahiri kabisa jeshi la polisi kanda ya Dar es Salaam imewafumbia macho wavuta bangi na madawa. Katika maeneo mbali mbali ya jiji la Dar kumekua na vijana wengi wakijihusisha na vitendo hivi viovu na mbaya zaidi wapo maeneo ya wazi kabisa ambapo hata watoto zetu wanawaona.

Mfano madhubuti ni Kariakoo Msimbazi mbele kabisa ya kituo cha polisi cha Msimbazi kwenye parking ya mabus yaendayo Kimara - Mbezi kumekua na vijana hawa(mateja) kwa mda mrefu sasa, pia viunga vya Mwembe Yanga n.k
 
Back
Top Bottom