Je kama nimempa MTU cheti changu na tumetajwa

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Mfano cheti changu kimetumiwa na zaidi ya watu 4 na wote tumetajwa je mm mwenye cheti halali naweza wageuka nilio wapa na kuwasingizia kuwa wameniibia
cheti
Je mm nilio wapa au mwenye cheti nitapona
 
Jina lake tu linasadifuu alivyo,,

Ni "Askari Muoga"
 
Mfano cheti changu kimetumiwa na zaidi ya watu 4 na wote tumetajwa je mm mwenye cheti halali naweza wageuka nilio wapa na kuwasingizia kuwa wameniibia
cheti
Je mm nilio wapa au mwenye cheti nitapona
hapo wao wakubali tu kupoteza kazi, wakuachie wewe pekeako
 
Mfano cheti changu kimetumiwa na zaidi ya watu 4 na wote tumetajwa je mm mwenye cheti halali naweza wageuka nilio wapa na kuwasingizia kuwa wameniibia
cheti
Je mm nilio wapa au mwenye cheti nitapona
Uliibiwa lini???wapi???taarfa ulitoa lini???kupitia hayo maswali ndipo kukamatwa kwako na pona yako
 
Back
Top Bottom